
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jumba la Treni(CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na ZSSFdarajani mjini Unguja.
Jumba
la Treni(CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na ZSSF na kufunguliwa
rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohammed Shein Darajani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein
akielekeza kitu kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano
alipotembelea sehemu mbalimbali za jengo hilo na kuoneshwa ramani baada
ya kulifungua Jumba hilo la Treni(CHAWL BULDING)lililofanyiwa
matengenezo na ZSSFdarajani mjini Unguja.
Mkurugenzi
Mwendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano akitoa hotuba na kuelezea
historia ya jengo la Treni (CHAWL BULDING)lililofanyiwa matengenezo na
ZSSF na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein darajani mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein
akitoa hotuba ya ufunguzi wa Jengo la Treni (CHAWL BULDING)lililofanyiwa
matengenezo na ZSSFdarajani mjini Unguja.
No comments :
Post a Comment