Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari
10, mali ya Bw. Philipo Kapande (kushoto) katika kijiji cha Jomu
kwenye Halmashauri ya Msalala Julai 17, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Shinyanga, Zainab Telack.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari
10, mali ya Bw. Philipo Kapande (wapili kushoto) katika kijiji
cha Jomu kwenye Halmashauri ya Msalala Julai 17, 2018. Wapili kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. Na kushoto ni Mwenyekiti wa
CCM wa Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la ghala la kuhifadhia
mazao ya wakuliama katika kijiji cha Bulige kwenye Halmashauri ya
Msalala Juali 17, 2018. Anayemsaidia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige
na Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua ghala la kuhifadhia mazao
ya wakulima katika kijiji cha Bulige kwenye Halmashauri ya Msalala,
Julai 17, 2018. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kahama, Anamringi, Macha,
wapili kushoto ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na wanne kushoto ni
Mbunge wa Viti Maalum, Aza Hilal. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Lucy
Mayenga na wapili kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Elius Kwandikwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment