Tuesday, July 17, 2018

MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO


DSC08944
Wakili wa Kujitegemea kutoka Haki Advocates, Bw. Aloyce Komba akitoa Mada ya utoaji wa Habari za Kimahakama kwa Waandishi wa Habari za Mahakama wanaoshiriki katika mafunzo ya Uandishi wa Habari za Kimahakama katika Ukumbi wa Magadu mkoani Morogoro.
DSC08954
Washiriki wakifuatilia mada kwa umakini.
DSC09010
Naibu Msajili, Mahakama Kuu, Mhe. Augustino Rwizile akitoa mada ya ‘Hatua mbalimbali za Mashauri ya Jinai na Madai’, lengo ni kuwaelimisha zaidi Waandishi hao juu ya hatua/taratibu mbalimbali katika uendeshaji wa mashauri hayo.
DSC09043
Afisa Tehama kutoka Mahakama ya Rufani-Tanzania, Bw. Allan Machella akitoa mada ya ‘Njia kuelekea Mahakama Mtandao, Mipango na Mafanikio.’
DSC08935
Mwandishi wa Nipashe, Bi. Hellen Mwango akichangia mada katika mafunzo hayo.
(Picha na Mary Gwera)

No comments :

Post a Comment