Monday, June 11, 2018

Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma Toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka Hazina Yafunguiwa Mkoani Iringa


Pix 1 b Ufunguzi Pix 1 Ufunguzi mafunzo
Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago akifungua mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.Kulia kwake ni Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa na wa kwanza kushoto ni Meneja wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Iringa Bw.Baraka Mwambene.
Pix 2 Mentor kutoka Ps3
Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa akielezea ufanyaji kazi wa  Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.Kulia kwake ni Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago.
Pix 4 Washiriki Pix 4a washiriki Pix 4b washiriki
Pix 6 washiriki
Wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro wakifuatilia mafunzo ya mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) leo Mkoani Iringa.
Pix 5 Mwezeshaji
Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI  Bw.Juma Shaha akielezea umuhimu wa matumizi ya mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,IRINGA

No comments :

Post a Comment