Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda
Maalum ya kiuchumi nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati)
alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM)Kata ya kivukoni, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es
Salaam Ndg. Sharik Choughule
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda
Maalum ya kiuchumi nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati)
alieongozana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Kata ya kivukoni,
Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Ndg. Sharik Choughule (kulia)
walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda
Maalum ya kiuchumi nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati)
alieongozana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya
kivukoni, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Ndg. Sharik Choughule
(kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment