Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Magezera mkoa
wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa magereza Mwandamizi (SACP) Mzee
ramadhani Nyamka alipowasili Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)
mkoani Morogoro kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa
chuo leo Mei 7, 2018
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Magezera mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa magereza
Mwandamizi (SACP) Mzee ramadhani Nyamka alipowasili Chuo Kikuu cha
Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro kukutana na wafanyakazi na
wanafunzi pamoja na wadau wa chuo leo Mei 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia jumuiya ya Chuo Kikuu cha
Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro alipofika na kukutana na
wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho leo Mei 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribisha maswali, maoni na ushauri
toka kwa jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani
Morogoro alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na
wadau wa chuo hicho leo Mei 7, 2018. Wengine toka kulia ni Mama Janeth
Magufuli, Makamu Mkuu wa SUA Profesa Raphael Tihelwa Chibunda, Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe stephen Kebwe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
kwa taarifa nzuri Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine
(SUA) Profesa Raphael Tihelwa Chibunda alipofika na kukutana na
wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho leo Mei 7, 2018.
Sehemu
ya wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa Chuo Kikuu cha Kilimo
cha Sokoine mkoani Mrorogoro wakimsilikiza Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipofika na kukutana nao chuo hapo
leo Mei 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael Tihelwa Chibunda
alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa
chuo hicho leo Mei 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungiana mikono na wanafunzi,
wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine
(SUA) baada ya kukutana nao leo Mei 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya
wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa Chuo Kikuu cha Kilimo
cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao leo Mei 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamati ya
Ulinzi na Usalama ya Mkoa alipotembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha
Sokoine (SUA) na kukutana na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau
wa chuo hicho leo meo7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu Tawala wa
Mkoa wa Morogoro Bw. Tandari baada ya kukutana na kuongea na wanafunzi,
wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine
(SUA) baada leo Mei 7, 2018. Wengine ni Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe stephen Kebwe.
Picha na IKULU
No comments :
Post a Comment