Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania
Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe.
Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akipongezana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe.
Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania
Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media
Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji,
Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) walipomtembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media
Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg.
Maharage Chande
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice
Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,
Ndg. Joseph Kusaga
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi Mhe.
Kamlepo kalua (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Kulia ni Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu, Ndg. Thomas Makiwa
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi pale ugeni huo
ulipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma, ukiongozwa na Makamu
mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Kamlepo kalua (watatu kulia)
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment