Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania
Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania
Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe.
Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania
Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe.
Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Ufaransa
nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
Balozi wa Ufaransa nchini
Tanzania, Mhe. Frederic Clavier (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa
Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) walipokutana leo
katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa
Ilala, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini
Tanzania, Mhe. Frederic Clavier (kulia) walipokutana leo katika Ukumbi
wa Bunge Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment