Thursday, April 26, 2018

RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI


magufuli
 
Rais Dkt John Pombe Magufuli ameipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018 katika sherehe ya miaka 54 ya Muungano .
Na pia ameagiza michakato ya kisheria ianze mara moja na pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma ndiye atakuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma. 
Dodoma inaungana na majiji mengine nchini ; Dar es Salaam,Mwanza, Arusha ,Tanga na Mbeya

No comments :

Post a Comment