Thursday, April 26, 2018

TBL GROUP YAADHIMISHA WIKI YA USALAMA MAHALI PA KAZI

????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Wafanyakazi wa TBL Ilala wakifuatilia mafunzo
????????????????????????????????????
Wafanyakazi wa Konyagi wakiwa na mabango yenye jumbe za usalama 
PICHA TBL ARUSHA 8
Mtaalamu wa zimamoto akiwapiga msasa wafanyakazi wa TBL Arusha
PCHA TBL MWANZA PICHA MBEYA 1 PICHA TBL MBEYA 6
Wafanyakazi wa TBL Mbeya wakifuatilia mafunzo
PICHA TBL ARUSHA 7
Wafanyakazi wa TBL Arusha wakifatilia mafunzo
……………….
 
Kampuni ya TBL Group, chini ya kampuni mama ya ,ABInBev imeweka mikakati kuhakikisha viwanda vyake vyote nchini vinatekeleza kanuni za Afya na Usalama mahali pa kazi na nje ya kazi kwa viwango vya kimataifa na pia imezindua program ya usalama kupitia mtandao inayowezesha
wafanyakazi wake   kutoa taarifa za usalama kwa njia ya simu (SAFETY APP)
 
Akiongelea maadhimisho haya,Meneja usalama wa TBL Group, Khery Gunzarethy, alisema kwa wiki  nzima wafanyakazi wa kampuni wamekuwa wakipata mafunzo ya usalama ya ndani na kutoka kwa wataalamu wa nje katika viwanda vyote vilivyopo katika mikoa ya Dar es Salaam,Arusha,Mbeya na Mwanza.

No comments :

Post a Comment