Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama wakati akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kwenda kukagua
gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya
Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea
kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya
Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
gwaride la heshma katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano
wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili
katika jukwa kuu kwa ajili ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma
Vikosi mbalimbali vya Jeshi la
Wananchi, Magereza na Polisi vikipita kutoa heshma mbele ya Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka
54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma
Kikosi cha Makomando wa (JWTZ)
kikipita na kutoa heshma mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani
pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma
Mmoja wa Makomando wa JWTZ akitoa
Heshma kwa kupiga Saluti wakati akipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
(haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma
Mmoja wa Makomando wa JWTZ
akiwasili ndani ya uwanja wa jamhuri kwa kutumia kamba katika
maadhimisho hayo ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Mmoja wa Makomando wa JWTZ
akionesha umahiri wake wa kuvuta gari kwa kutumia meno katika ya
maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa Pamoja na Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma, wakati kikundi cha Halaiki kilipokuwa
kikipita mbele kutoa heshma katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma.
Askari wa Jeshi la Magereza
wakionesha umahiri wa kupambana na vikwazo mbalimbali katika ya
maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Spika wa Bunge Job
Ndugai wakati kikundi cha vijana wa Halaiki walipokuwa wakipita mbele
kutoa heshma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment