Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kwa
niaba ya Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo
amefungua mashindano ya UMISETA Kanda ya Kusini na kukabidhi vifaa vya
michezo kwa shule 20 za sekondari zinazoshiriki katika mashindano hayo
yanayoendelea nchini kote.
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh. Evod
Mmanda akikagua timu baada ya kufungua mashindano ya UMISETA Kanda ya
Kusini na kukabidhi vifaa vya michezo kwa shule 20 zinazoshiriki katika
mashindano hayo.
No comments :
Post a Comment