
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombelezo ya Marehemu Abbas Kandoro
aliyefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimpa pole mke Marehemu Abbas
Kandoro, Mariam Kandoro nyumbani kwa marehemu Mbweni jijini Dar es salaam.(Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :
Post a Comment