Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na
mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge mara
alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo
anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya
Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa Jamhuri Mjini
Dodoma,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika
mapokezi yake mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo
jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya
Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa
Jamhuri Mjini Dodoma,
Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment