Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali mstaafu
Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya
kumuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha IGP Mstaafu Ernest Jumbe
Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashuhudia Meja Jenerali mstaafu
Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu wakila kiapo cha
maadili ya viongozi baada ya kuwaapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini
Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi balozi John Kijazi Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe Ramadhani Mwinyi pamoja na viongozi wa vikosi vya Ulinzi
na Usalama katika picha ya pamoja na Meja Jenerali mstaafu Simon Marco
Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu baada ya kuwaapisha kuwa Balozi
wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018
Picha na IKULU
No comments :
Post a Comment