Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
.kwaniaba ya Raisi John Pombe Magufuli leo March/21/2018 amesaini
mkataba wa Makubaliano ya kulifanya Bara la Afrika Kuwa eneo hururu la
Biashara . Utiaji saini huo umefanyika Jijini Kigali Rwanda
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
No comments :
Post a Comment