Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za
Serikali (PAC), wakiwa katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Mussa Assad.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za
Serikali (PAC),wakifuatilia mada kuhusu ukaguzi wa ufanisi kutoka kwa
Mkaguzi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ndugu Jmaes Pilly katika semina
iliyofanyika Mkoani Singida kwa ajili ya kuwajengea uwezo wajumbe hao.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC),wakifuatilia mada kuhusu ukaguzi wa ufanisi
kutoka kwa Mkaguzi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ndugu Jmaes Pilly
katika semina iliyofanyika Mkoani Singida kwa ajili ya kuwajengea uwezo
wajumbe hao.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali Profesa Mussa Assad akisisitiza jambo katika semina
kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa
(LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyofanyika Mkoani
Singida ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo wajumbe hao.
No comments :
Post a Comment