Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao
Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe
aliofuatana nao. [Picha na Ikulu.]27 Machi 2018.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Ujumbe wa Huawei unaoongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa
Huawei Bw.Gao Mengdong (wa pili kulia) ujumbe huo ulipofika Ikulu
Zanzibar leo kwa mazungumzo. [Picha na Ikulu.] 08 Machi 2018.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong,
alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe
aliofuatnana nao (hawapo pichani). [Picha na Ikulu.] 27 Machi 2018.
No comments :
Post a Comment