Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akiweka jiwe la msingi wa jengo la wazazi katika kituo cha afya
Chiwale, Wilayani Masasi, akiwa ameanza ziara yake ya kikazi ya siku
tatu, Mkoani Mtwara Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akikata utepe wakati akiweka jiwe la msingi katika kituo cha
afya Chiwale, akiwa katika ziara yake ya kikazi ya siku tatu, Mkoani
Mtwara Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akikagua wodi ya wazazi katika kituo cha afya Chiwale, mara
baada ya kuweka jiwe la msingi kituoni hapo, akiwa katika ziara yake ya
kikazi ya siku tatu, Mkoani Mtwara Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akiongea na wananchi wa Chiwale, Wilayani Masasi, mara baada ya
kuweka jiwe la msingi la jengo la wazazi katika kituo cha afya Chiwale.
Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment