Muakilishi wa Jimbo la Wawi Hamad
Abdalla Rashid akitoa mchango wake katika Baraza la Wawakilishi
linaloendelea chukwani Mjini Unguja.
Naibu Waziri wa Ardhi Maji
Nishati na Mazingira Juma Makungu Juma akijibu maswali yalioulizwa
ndani ya Baraza la Wawakilishi linaloendele chukwani Mjini Unguja.
Muakilishi wa Jimbo la Chwaka na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa
ndani ya Baraza la Wawakilishi linaloendele chukwani Mjini Unguja.
Muakilishi wa Jimbo la Donge na
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Muhammed kulia akiwa pamoja
na Muakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Nassor Salim Ali katikati na
Muakilishi wa Jimbo la Mkwajuni Ussi Yahya Haji wakibadilishana mawazo
nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi linaloendele chuk wani Mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments :
Post a Comment