Sunday, February 18, 2018

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA KIWANDA CHA MIFUKO NA STEEL WIRE MAGU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Lakairo Industries, Daniel Lameck wakati alipotembelea na kukagua uzalishaji wa mifuko na steel wire kwenye kiwanda hicho, eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Lakairo Industries, Daniel Lameck wakati alipotembelea na kukagua uzalishashaji wa mifuko na steel wire kiwandani hapo, eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha Lakairo Industries kwenye eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa makampuni ya Lakairo na Mbunge wa Rorya, Mhe. Lameck Airo, wanne kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Daniel Lameck. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Miongella . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga kakofi baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha Lakairo Industries kwenye eneo la Isangijo wilayani Magu Februari 17, 2018. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa makampuni ya Lakairo na Mbunge wa Rorya, Mhe. Lameck Airo, wanne kuila ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho , Daniel Lameck. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Miongella . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment