Sunday, February 18, 2018

MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba, Marco Mtunga (watatu kulia) kuhusu zao la pamba lililostawi vizuri wakati alipotembelea shamba darasa katika kijiji cha Kilyaboya wilayani Kwimba Februari 16, 2018. Wanne kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na kushoto ni Afisa Kilimo wa wilaya ya Kwimba, Magreth Kavalo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba la Bw. Dotto Masomi (kushoto) katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba Februari 16, 2018, Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mtemi Simon Msafiri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Dotto Masomi baada ya kutembelea shamba la pamba la mkulima huyo katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba na kufurahishwa na ubora wa shamba hilo Februari 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment