Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza kuanza ziara ya kazi mkoani humo
Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Angelina Mabulla wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza
kuanza ziara ya mkoa huo, Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na viongozi wa serikali, Vyama vya Siasa na viongozi wa
dini kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kuwasili na kuanza ziara
ya kikazi mkoani humo Februari 15, 2018. Watano kulia ni Mkuu wa mkoa
wa Mwanza, John Mongella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment