Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Mhe.Wilbroad
Peter Slaa alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha
pia na kumuaga Rais baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo na Rais
waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Mhe.Muhidin
Ally Mboweto alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha
pamoja na kumuaga Rais baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo na Rais
waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Mhe.Wilbroad
Peter Slaa (katikati) na Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Mhe.Muhidin
Ally Mboweto walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya
kujitambulisha na kumuaga Rais baada ya kuteuliwa kushika nafasi hizo na
Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akimsikiliza Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Mhe.Wilbroad
Peter Slaa (katikati) wakati wa mazungumzo yao na Balozi wa Tanzania
Nchini Nigeria Mhe.Muhidin Ally Mboweto (kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa
ajili ya kujitambulisha na kumuaga Rais baada ya kuteuliwa kushika
nafasi hizo na Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli.
Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment