Thursday, January 25, 2018

VIDEO:RC RUVUMA AMKAMATA MENEJA WA HIFADHI YA CHAKULA YA MKOA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WAKE



Kauli ya kukamatwa kwa wafanyakazi wa hifadhi ya chakula pamoja na mmiliki wa ghala binafsi linakuja baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na kukuta shehena ya mahindi ya serikali yaliyoibiwa na kuhifadhiwa kwenye ghala binafsi kiasi ambacho hadi sasa hakijaulikana.

No comments :

Post a Comment