Katibu Tawala Mkoa Kaskazini Pemba
Ahmed Khalid Abdalla akiwakaribisha wageni katika Mkutano wa kujadili
madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika
katika Mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar
Khamis Othman akifungua Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya
wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa wake.
Katibu Mkuu Shirikisho la vyama
vya wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Khamis Mwinyi Mohammed (aliesimama)
akitoa maelezo juu ya mchakato na ufanikishaji wa Madhimisho ya Mei mosi
katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba.
Afisa kutoka Wizara ya Kazi
Zanzibar Amin Ali Amin akichangia kitu katika Mkutano huo uliofanyika
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba.
Picha na Makame Mshenga Pemba.
No comments :
Post a Comment