Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi mwigizaji wa filamu za
Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John
Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani
kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018.
Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa
zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye
alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba
msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India,
kwa matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo.
Katibu
wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilli kumkabidhi mwigizaji wa filamu za
Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John
Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani
kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018.
Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa
zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye
alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba
msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India,
kwa matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa
kuwajali wananchi wake.
Mwigizaji
wa filamu za Bongo movie Wastara Juma akiwa nyumbani kwake Tabata
Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018.
Katibu
wa Rais Bw. Ngusa Samike na waendesha kipindi cha Clouds TV cha
SHILAWADU wakumsikiliza mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara
Juma akishukuru kupokea shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John
Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu yake
nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26,
2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa
zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye
alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba
msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India kwa matibabu
chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali
wananchi wake.
Katibu
wa Rais Bw. Ngusa Samike na ujumbe alioongozana nao pamoja
na waendesha kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU wakiwa katika picha ya
kumbukumbu na mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma baada ya
kumkabidhi shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe
Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu ya msanii huyo
nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26,
2018. Bw. Samike pia alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki
tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye
alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba
msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India kwa matibabu
chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali
wananchi wake.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment