Mkurugenzi Mkuu wa Times Fm, Bw.
Rehure Nyaulawa (kushoto) akitoa pongezi na shukrani kwa Kamishna wa
Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jesuald Ikonko
(katikati) wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo na cheti cha heshima kwa
kutambua utendaji kazi wa jeshi hilo (kulia) ni Mkurugenzi wa vipindi
Times Fm Bw. Amani Misana wakati wa Matangazo hayo yalikuwa yakirushwa
moja kwa moja toka Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema
jana tarehe 26/01/2018.
Mkurugenzi Mkuu wa Times Fm, Bw.
Rehure Nyaulawa (kushoto) akimkabidhi Cheti cha heshima Kamishna wa
Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jesuald Ikonko
(katikati) kwa kutambua utendaji kazi wa Jeshi hilo wakati wa Matangazo
hayo yalikuwa yakirushwa moja kwa moja toka Makao Makuu ya Jeshi hilo
Jijini Dar es Salaam mapema jana tarehe 26/01/2018.
Kamishna wa Usalama dhidi ya moto
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jesuald Ikonko akipokea Tuzo ya heshima
toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Times Fm, Bw. Rehure Nyaulawa kutokana na
utendaji kazi wa Jeshi hilo kwa jamii na Taifa kwa ujumla (kulia) ni
Mkurugenzi wa vipindi Times Fm Bw. Amani Misana wakati wa Matangazo hayo
yalikuwa yakirushwa moja kwa moja toka Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini
Dar es Salaam mapema jana tarehe 26/01/2018.
Picha ya Pamoja, Kamishna wa
Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jesuald Ikonko (wa
nne kulia) akiwa na Viongozi Waandamizi wa Jeshi pamoja na Mkurugenzi
Mkuu wa Times Fm, Bw. Rehure Nyaulawa (kulia kwake) na (kushoto kwake)
ni Mkurugenzi wa vipindi Times Fm Bw. Amani Misana Matangazo hayo
yalikuwa yakirushwa moja kwa moja toka Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini
Dar es Salaam mapema jana tarehe 26/01/2018.
Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA – JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
No comments :
Post a Comment