Naibu Waziri Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akisisitiza jambo mbele ya baadhi ya Watumishi(hawapo kwenye picha) wa
Taasisi ya Kiuma inayomiliki chuo cha Uuguzi, Kituo cha Afya na Kanisa
la Upendo wa Kristo Kiuma.
Mkurugenzi Mkuu wa chuo cha Uuguzi
na Mwenyekiti wa Kanisa la Upendo wa Kristo Kiuma Dkt. Matomola
akiwasilisha taarifa ya taasisi hiyo mbele ya Naibu Waziri wa Afya Dkt
Faustine Ndugulile (Hayupo kwenye picha) wakati wa ziara yake katika
Wilaya ya Tunduru.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akikagua baadhi ya Vifaa vya Maabala wakati alipofanya ziara katika
Wilaya ya Tunduru Kituo cha Afya cha Kiuma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akikagua baadhi ya vifaa katika chumba cha Kompyuta wakati alipofanya
ziara katika Wilaya ya Tunduru Kituo cha Afya cha Kiuma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile
akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa kike(Matroni) wa Kituo cha Afya
cha Kiuma Maria Ntazama, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kiuma
na Mwenyekiti wa Kanisa la Upendo wa Kristo Kiuma Dkt. Matomola.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akikagua moja ya darasa katika chuo cha Uuguzi Kiuma wakati alipofanya
ziara katika Wilaya ya Tunduru Kituo cha Afya cha Kiuma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akikagua vitabu katika maktaba ya chuo cha Uuguzi na ukunga Kiuma wakati
alipofanya ziara katika Wilaya ya Tunduru.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
(katikati) wakiwa katika ziara yake Wilayani Tunduru, wakwanza ni
Mkurugenzi wa Mafunzo Wizara Ya Afya Dkt. Otilia Gowele na kulia kwake
ni Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Kiuma ambae pia ni Mwenyekiti wa Kanisa
la Upendo wa Kristo Dkt. Matomola.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Kiuma ambae pia
ni Mwenyekiti wa Kanisa la Upendo wa Kristo Dkt. Matomola, wakati
akikagua mabweni ya chuo cha Uuguzi na ukunga Kiuma kilichopo Wilaya ya
Tunduru.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha
uuguzi na ukunga Kiuma kilichopo Wilaya ya Tunduru wakifuatilia hotuba
kutoka kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Dkt Faustine (hayupo kwenye
picha), wakati alipofanya ziara katika taasisi hiyo ya Kiuma Wilayani
Tunduru.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akikagua kwa umakini Daftari la opokeaji Dawa pembeni yake ni Afisa wa
Kliniki Hassan Miengende.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile
akikagua Kadi za dawa wakati alipofanya ziara katika kituo cha Afya
Mkasale Wilayani Tunduru.
Wananchi wa Kijiji cha Mkasale
wakifuatilia kwa makini agizo kutoka kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile juu
ya usimamiaji wa rasilimali fedha katika kituo chao cha Afya.
……………….
No comments :
Post a Comment