Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Japhet Hasunga (kulia) akizungumza na Watumishi wa Wakala wa
Huduma za Misitu Tanzania (TFS) makao makuu jijini Dar es Salaam jana .
Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TFS, Dos Santos Silayo
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa
Maliasili na Utalii ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki
Dkt. Ezekiel Mwakalukwa (kulia) akizungumza na Watumishi wa Wakala wa
Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto) kuzungumza na Watumishi
wa TFS makao makuu jijini Dar es Salaam jana .
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma
za Misitu Tanzania (TFS) Dos Santos Silayo akitoa neno la shukrani kwa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga baada ya
kuzungumza na Watumishi wa TFS makao makuu jijini Dar es Salaam
jana .
Baadhi ya Watumishi wa Wakala wa
Huduma za Misitu Tanzania wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga wakati akizungumza nao jana jijini
Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Wakala wa
Huduma za Misitu Tanzania wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga wakati akizungumza nao jana jijini
Dar es Salaam. (Picha na Lusungu Helela-MNRTBaadhi ya Watumishi wa
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania wakimsikiliza kwa makini Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga wakati akizungumza nao
jana jijini Dar es Salaam.
Picha na Lusungu Helela-MNRT
No comments :
Post a Comment