Wachezaji wa mpira wa wavu wa
Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa mpira wa wavu wa Kenya (nyeupe)
wakichuana ikiwa ni Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini
Dar es Salaam, Tanzania
Wachezaji wa mpira wa wavu wa
Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa Kenya (nyeupe) wakijiandaa kwa
ajili ya kuanza mchezo baina yao uliofanyika leo katika uwanja wa ndani
wa Taifa, Tanzania ikiwa ni Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya
Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa
Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania
Wachezaji wa Timu ya mpira wa wavu
wa Tanzania wakijadiliana wakati wa mapumziko wakati wa mchezo baina
yao na kenya katika Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini
Dar es Salaam, Tanzania
Mashabiki
wa Timu ya Tanzania wakishangilia wakati timu ya mpira wa wavu ya
Tanzania ikicheza na timu ya mpira wa wavu ya Kenya leo katika uwanja wa
ndani wa Taifa, Tanzania katika Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya
Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa
Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment