Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa
ufunguzi wa Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi
lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho
Gambo (Kushoto) na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango
tayari kwa ufunguzi wa Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi
na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha
(AICC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na wanafunzi wa shule ya awali ya Heaven Moshono Arusha pamoja
na walimu wao ambao walikuwa uwanja wa ndege wa Arusha wakati Makamu wa
Rais anaondoka Arusha mara baada ya kufungua wa Kongamano la 8 la Mwaka
la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha
Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC).
Sehemu ya Wahudhuriaji wa
Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika kwenye kituo
cha mikutano cha Kimataifa Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muunfgano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma Mhe. Mhandisi Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Arusha ambapo alifungua
Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments :
Post a Comment