Katibu wa Bunge la Kenya, Ndg.
Michael Sialai akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Stephen Kagaigai leo
ofisini kwake Mjini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai (kushoto) akizungumza na Katibu wa Bunge la Kenya, Ndg. Michael
Sialai (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dar
es Salaam.
Katibu wa Bunge la Kenya, Ndg.
Michael Sialai (kulia) akizungumza na katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Ndg. Stephen kagaigai (kushoto) pale katibu huyo
alipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa Bunge la
Kenya, Ndg. Michael Sialai (kulia) baada ya kikao kilichofanyika leo
ofisini kwake Mjini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai (kushoto) akiteta jambo na Katibu wa Bunge la Kenya, Ndg.
Michael Sialai (kulia) baada ya kikao kilichomalizika leo ofisini kwake
Mjini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Bunge la Kenya, Ndg.
Michael Sialai (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake
Mjini Dar es Salaam.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment