Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (Katikati), akizungusha king’ora
kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Tamasha la Zimamoto la utoaji elimu kwa
niaba ya Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo Thobias Andengenye, wakati wa
Tamasha la hilo lililofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya
Tanganyika Packers vilivyopo eneo la Kawe mapema jana asubuhi tarehe
22/12/2017.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akizungumza na Wananchi wa Jiji
la Dar es Salaam wakati wa Uzinduzi rasmi wa Tamasha la Zimamoto la
utoaji elimu kwa Umma, wakati wa Tamasha hilo lililofanyika Jijini Dar
es Salaam katika viwanja vya Tanganyika Packers vilivyopo eneo la Kawe
mapema mapema jana asubuhi tarehe 22/12/2017.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (Watatu Kulia), akiwa kwenye banda
la mmoja wa mdau aliyeshiriki katika tamasha hilo, wakati wa Tamasha la
Zimamoto la utoaji elimu kwa umma lililofanyika Jijini Dar es Salaam
katika viwanja vya Tanganyika Packers vilivyopo eneo la Kawe mapema
mapema jana asubuhi tarehe 22/12/2017.
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Mrakibu wa Zimamoto Peter
Mabusi (wanne kushoto) akitoa maelezo kwa Kamishna wa Operesheni Billy
Mwakatage (watatu kushoto), Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
Benedict Kitalika (Wapili Kushoto), na Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa
Temeke Laizer Loshpy (kushoto), pindi vikosi mbalimbali vya zimamoto
vilivyokuwa vikioonesha zoezi la utayari wakati wa tamasha la Zimamoto
na Uokoaji la utoaji elimu lililofanyika katika viwanja vya Kawe
Tanganyika Packers mapema mapema jana asubuhi tarehe 22/12/2017.
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini wakionesha utayari wakukabiliana na majanga ya moto.
Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
No comments :
Post a Comment