
Wajumbe kutoka Mtandao wa Kijani
Kibichi Tanzania (Mkikita/Living Green) wakiwa na furaha baada ya
kulakiwa na wenyeji wao walipowasili hivi karibuni katika Jiji la
Bangkok, Thailand tayari kwa ziara ya utalii wa kilimo cha kisasa na
ufugaji pamoja na fursa la biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita,
Adam Ngamange (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mtandao
huo, Dk. Kissui S. Kissui wakiwawsili kwenye uwanja wa ndege jijini
Bangkoko, Thailand
Wakiwa na wenyeji wao
Wakiwa kwenye mkutano
wakati wa maakului











No comments :
Post a Comment