Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga (kulia) akizungumza na Balozi wa Italia nchini, Mhe.
Roberto Mengoni alipomtembea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam
tarehe 27 Novemba 2017.
Mazungumzo yao yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kihistoria na
kidiplomasia uliopo baina ya Tanzania na Italia. Pia wamejadili
mikakati ya kuboresha ushirikiano katika sekta ya elimu hususan elimu ya
ufundi, miundombinu, utalii, biashara na uwekezaji. |
No comments :
Post a Comment