Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (katikati) akimsikiliza kamanda wa kikosi cha Usalama
barabarani mkoa wa Kipolisi Kinondoni (ASP) Solomoni Mwangamilo (Kulia),
alipofanya ziara bandari ya Dar es salaam kukagua magari 31 ya Jeshi
hilo ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. John Pombe
Magufuli, alielekeza kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, kushoto ni
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (katikati), akiwa ameongozana na kamanda wa kikosi cha
Usalama barabarani mkoa wa Kipolisi Kinondoni (ASP) Solomoni Mwangamilo
(Kulia), alipofanya ziara bandari ya Dar es salaam kukagua magari 31 ya
Jeshi hilo ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. John
Pombe Magufuli, alielekeza kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi.
Picha na Jeshi la Polisi.
No comments :
Post a Comment