Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa
Christina Mndeme (kulia) baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha
Ruvuma tayari kuelekea katika mazishi ya aliekuwa Mbunge wa Jimbo la
Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama yanayofanyika leo
katika Mtaa wa Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (wa pili kushoto) akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Songea,
Mhe. Abdul Mshaweji (kulia) baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Songea mapema leo, tayari kuelekea katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa
Jimbo la Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama
yanayofanyika leo katika Mtaa wa Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani
Ruvuma. kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa Christina Mndeme
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akimfariji Ndg. Esther Gama mke wa aliyekuwa Mbunge wa
Jimbo la Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama wakati wa
mazishi yaliyofanyika leo katika Mtaa wa Likuyufusi Manispaa ya Songea
Mkoani Ruvuma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akiongoza Mawaziri, Wabunge pamoja na viongozi mbali mbali wa
serikali katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea
Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama katika tukio lililofanyika
leo katika Mtaa wa Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Viongozi mbali mbali waliofika
kuuaga mwili wa aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert
Gama katika tukio lililofanyika leo katika makaburi ya Likuyufusi
Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Wanafamilia waliofika kuuaga mwili
wa aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama
katika tukio lililofanyika leo katika makaburi ya Likuyufusi Manispaa
ya Songea Mkoani Ruvuma.
Viongozi mbali mbali waliofika
kuuaga mwili wa aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert
Gama katika tukio lililofanyika leo katika makaburi ya Likuyufusi
Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Wapambe wa Bunge wakibabe mwili wa
aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert Gama kabla ya
kuzikwa leo katika makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani
Ruvuma.
Mke wa marehemu, Ndg. Esther Gama
akiweka shada ya maua katika kaburi la mume wake, aliyekuwa Mbunge wa
Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert Gama, tukio lililofanyika leo
makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akiweka shada ya maua katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa
Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama aliezikwa leo katika
makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment