Mama
Judy Shore na Tamar Shapira kutoka Taasisi
ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel wakizungumza
jambo na mtoto Julius Kaijage ambaye
mwaka 2013 alifanyiwa upasuaji wa moyo nchini humo. Wafanyakazi wa SACH
walitembelea mkoa wa Kagera kwa ajili ya kumjulia hali mtoto huyo.
Mama
Judy Shore kutoka
Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini
Israel ambaye anaishi nchini Marekani wakizungumza jambo na mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013
alifanyiwa upasuaji wa moyo nchini Israel. Mama Shore aliamua kuja nchini
kumjulia hali mtoto Julius baada ya kupata taarifa za kupona kwake ugonjwa wa
moyo.
Tamar
Shapira kutoka Taasisi ya Okoa Moyo
wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel akipokea zawadi ya
kitenge kutoka kwa mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013 alifanyiwa upasuaji
wa moyo nchini humo. Wafanyakazi wa SACH walitembelea mkoa wa Kagera kwa ajili
ya kumjulia hali mtoto huyo.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akiwa
katika kikao na wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s
Heart-SACH) ya nchini Israel ambao walifika katika mkoa huo kwa ajili ya kumjulia
hali na kufuatilia maendeleo ya elimu ya mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013 alifanyiwa upasuaji wa Moyo
nchini humo.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akiwa
katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel ambao
walifika katika mkoa huo kwa ajili ya kumjulia hali na kufuatilia maendeleo ya elimu ya mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013 alifanyiwa upasuaji
wa Moyo nchini humo.




No comments :
Post a Comment