Saturday, November 25, 2017

WAZIRI KAMWELWE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WANAOTOA HUDUMA YA MAJI NCHINI JIJINI TANGA

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza wakati akifungua mkutano wa mwaka wa  wadau wanaotoa huduma za maji nchini leo kwenye Ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Jijini Tanga
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Proffessa Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano huo
 Mwenyekiti wa ATAWAS,Mhandisi Mkama Manyama Bwire akizungumza katika mkutano huo
 Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe kulia katikati Katibu Mkuu wa Wizara  ya Maji na Umwagiliaji Proffessa Kitila Mkumbo kushoto ni Mwenyekiti wa  ATAWAS Mhandisi Mkama Manyama Bwire wakifuatilia mkutano huo
 Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe kulia katikati Katibu Mkuu wa Wizara  ya Maji na Umwagiliaji Proffessa Kitila Mkumbo kushoto ni Mwenyekiti wa  ATAWAS Mhandisi Mkama Manyama Bwire wakifuatilia mkutano huo
 
 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Joshua Mgeyekwa anayehamia Mkoani Shinyanga akifuatilia kwa umakini hotuba ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Mhandisi Isack Kamwelwe.
Afisa  Mtendaji Mkuu DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja kulia akiwa kwenye mkutano huo ambao ulifanyika kwenye ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort Jijini Tanga
 Sehemu  wa wajumbe  wa mkutano huo wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Mhandisi Isack Kamwelwe leo wakati akiufungua uliofanyika kwenye ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort Mjini Tanga
 Mmmoja kati ya washiriki wa kikao hicho akijitambulisha kabla ya kuanza mkutano huo
 Mmoja wa washiriki wa mkutano huo akijitambulisha kabla ya kuanza
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe katika akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Proffessa Kitila Mkumbo kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga.
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe kulia akiteta jambo na mmoja wa wadau wa mkutano  huo mara baada ya kupiga picha ya pamoja
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya  kufungua mkutano huo unaofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach Resort Mjini Tanga(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

No comments :

Post a Comment