WAKANDARASI wa Shirika la Umeme
Tanzania, (TANESCO) na wale wa kigeni, wakiendelea kuchapa kazi leo
Novemba 25, 2017 ili kukamilisha hatua ya kwanza ya ujenzi wa mitambo
Kinyerezi II jijini Dar es Salaam, ambapo kwa mujibu wa Kaimu Meneja
Uhusiano wa TANESCO, Bi. Leila Muhaji, kasi ya ujenzi inaridhisha na
kwamba katika hatua hiyo ya kwanza TANESCO inatarajia kuingiza kiasi cha
umeme Megawati 30 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo Desemba 7, 2017 na
hivyo kuongeza kiasi cha umeme katika safari ya kupata umeme wa uhakika
na wakutosha kwenye ujezni wa uchumi wa Viwanda.

No comments :
Post a Comment