Saturday, November 25, 2017

TUPAMBANE KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA: WAZIRI KAIRUKI.

 Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki akisaliamiana na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Nchini Bw. Alvaro Rodriguez wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017.  
Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki akiwaasa wadau na watanzania kujikita katika kupambana na ukatili wa kijinsia wakati akimwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017.

Niabu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akieleza namna  Wizara inavyoshikiana na wadau na wananchi kupambana kuondoa ukatili wa kijinsia  katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017
Mkurugenzi wa Shirika la WILDAF Tanzania Dkt Judith Odunga akitoa salamu kwa niaba ya wadau katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leade’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017.

 Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki(kulia) akiteta jambo na Niabu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile(kushoto) wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika Viwanja vya Leader’s club Kinondoni Dar es Salaam Novemba 25, 2017.
Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki akijadiliana jambo  na Mwakilishi wa Balozi wa Marekani nchini Bi Inmi Patterson wakti wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017
Baadhi ya wadau na wananchi wakifuatlia hotuba ya Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki(hayupo pichani) aliyemwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017.

Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki (watatu kushoto waliokaa )na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile(katikati waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja wadau na waharakati wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leade’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017. (PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO WAMJW)

 Baadhi ya wananchi na wadau wa maendeleo wakiwa katika maandamano maalum ya ufunguzi wa Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Kinondoni Dar es Salaam Novemba 25, 2017.

Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki akiwaasa wadau na watanzania kujikita katika kupambana na ukatili wa kijinsia wakati akimwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Dar es Salaam Novemba 25,2017.

No comments :

Post a Comment