Hayo ameyazungumza mara baada kuwasili katika Ofisi za Mtendaji Kata ya Kabuku Nov 23, 2017 kuhamasisha huduma za afya.
Hatua hiyo ni muendelezo wa agizo
la serikali ya awamu ya tano ya rais Dkt. John Pombe Magufuli ya
kuhakikisha wazee kuanzia umri wa miaka 60 na kuendelea wanapatiwa
matibabu bure. PICHA/HABARI NA KAJUNASON/MMG -KABUKU, HANDENI.
Wazee wakisikiliza kwa makini.
Diwani wa Kata ya Kabuku, Amina Mnegelo akizungumza machache mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe huku wazee wakimfuatilia kwa makini.
Wazee wakisikiliza kwa makini.
Diwani wa Kata ya Kabuku, Amina Mnegelo akizungumza machache mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe huku wazee wakimfuatilia kwa makini.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin
Gondwe akisalimiana na wazee wa kata ya Kabuku baada ya kuwasili katika
ofisi ya mtendaji kuzungumza na wazee juu ya mpango wa kuwapatia kadi za
bima ya afya zitakazowawezesha kupatiwa huduma ya afya bure katika
Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali. Mkutano ulifanyika katika Ofisi
za Mtendaji Kata ya Kabuku Nov 23, 2017.
Wazee wakimsikiliza mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.
Wazee wakimsikiliza mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe akiwasikiliza wazee wa Kata ya Kabuku
No comments :
Post a Comment