RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Kijarida cha
Mahakama Kuu Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis
Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo
27-11-2017
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu Zanzibar
kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa amefuatana na Jaji Mkuu
wa Tanzania Mhe.Profesa Ibrahim Hamis Juma, baada ya kumaliza
mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo. 27-11-2017.9
Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment