Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyeji wake Rais wa
Uganda Yoweri Kaguta wakijadiliana jambo mara baada ya kupewa maelezo ya mradi
huo mkubwa wa bomba la mafuta ghafi.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mkono na
kupongezana na Mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada
ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi litakalo toka Hoima
nchini Uganda hadi eneo la Chongoleani mkoani Tanga. Sherehe za uwekaji wa jiwe
hilo zimefanyika katika eneo la Mutukula Wilayani Kyotera nchini Uganda

Jiwe hilo la
Ufunguzi la Ujenzi wa Bomba hilo la Mafuta ghafi
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akiwasili pamoja na Mke wa Rais wa Uganda Mama Janeth Museveni
katika eneo la mpaka wa Tanzania Mutukula kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja
cha huduma za mpakani kwa upande wa Tanzania na Uganda.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais
wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili upande wa Tanzania
kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha huduma za mpakani kwa upande wa
Tanzania na Uganda.
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akiwasili pamoja na Mke wa Rais wa Uganda Mama Janeth Museveni
katika eneo la mpaka wa Tanzania Mutukula kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja
cha huduma za mpakani kwa upande wa Tanzania na Uganda.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama
Janeth Magufuli wakifurahia ngoma za asili za
watoto wa Uganda mara baada ya kuwasili nchini humo huku Rais wa Uganda
Yoweri Musevini akitazama watoto hao.

ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wa nyimbo za mataifa ya Tanzania na
Uganda zikipigwa katika eneo la Uganda.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Uganda Yoweri
Museveni wakifungua Ofisi za Kituo cha pamoja cha huduma za mpakani kwa upande
wa Tanzania. Wanne kutoka kushoto ni Mke wa
wa Rais Mama Janeth Magufuli akishuhudia pamoja na Mke wa Rais Museveni
Mama Janeth Museveni wa kwanza kushoto.

No comments :
Post a Comment