Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru
Mashariki ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa. Kata hizo na matokeo
yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce
Martin (Chadema) kura 608.
Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na
Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki
Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287.
Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.
No comments :
Post a Comment