Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Mkapa
Foundation, Deogratius Rimoy, kutambua mchango wa kufanikisha mbio za
'Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21 zilizofanyika leo
asubuhi kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, kuelekea
wiki ya Siku ya Ukimwi Duniani. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa kampuni
ya Montage, Teddy Mapunda, kutambua mchango wa kufanikisha mbio za
'Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21 zilizofanyika leo
asubuhi kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, kuelekea
wiki ya Siku ya Ukimwi Duniani.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akiongoza matembezi ya Kilometa
tano......
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (wa pili kuli) akiongoza mazoezi ya
viungo baada ya kumalizika mbio hizo.
Mazoezi yakiendelea....
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, (katikati) akiongoza mazoezi.
Mbio za Kilometa 21 zikianza...KWA PICJA ZAID BOFYA HAPA
Washiriki wa mbio hizo wakijiandaa kuanza.....
Mbio zikiendelea....
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa
mbio za Kilometa 9, Anold Kahwa.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa pili wa
mbio za Kilometa 9, Edgar Mapunda.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa
mbio za Kilometa 9, kwa upande wa wanawake, Irene Joseph.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa
mbio za Kilometa 21, Carlson Konga.
Washiriki wakitimua mbio
Mafoto akishiriki matembezi ya Kilometa tano.
Mama na mwana wakishiriki mbio za kilometa 9
Mazoezi ya viungo
Mazoezi ya viungo
Picha ya pamoja .....
Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Leonard Mabok, akiongea baada ya kumalizika mbio hizo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja....

No comments :
Post a Comment