![]() |
| Mkurugenzi mkuu wa TIB Corporate Bank Bw. Frank Nyabundege akibadlishana mawazo na mmoja wa wateja, Jennifer Bash wakati wa hafla hiyo. |
![]() |
Mkurugenzi
wa mikopo wa TIB Corporate Bank Bi. Adolphina William akimkabidhi
zawadi Mmoja wa wateja wa Benki Ndg Gervas Mwangoka. Pamoja naye ni
Bank Bw. Frank Nyabundege
|
![]() |
| Mkuu wa Masoko Bi. Theresia Soka akiongea machache kuwakaribisha wateja wa Benki ya TIB Corporate katika hafla hiyo. |
![]() |
Meneja
wa tawi la Samora Bw. Philipo Pilla akitoa neno la shukrani kwa wateja
walioudhuria hafla fupi ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
|

| Mkurugenzi mkuu wa TIB Corporate Bank Bw. Frank Nyabundege (kulia) na Mkurugenzi wa Majanga Bw. Fares Muganda (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jim Yonazi, Mhariri Mtendaji wa TSN Ltd |








No comments :
Post a Comment