Saturday, October 21, 2017

RAIS MAGUFULI AMTEUA JANETH MASABURI KUWA MBUNGE

Dk.-John-Magufuli-750x375Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Janeth Massaburi (kulia), akisisitiza jambo.
DMrWtVjXUAMf_qY

No comments :

Post a Comment