Naibu
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Abdallah Ngodu
akitoa neno la utangulizi kwa wajumbe wa jumuiya hiyo (hawapo pichani) wakati
wa jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo
mapema hii leo Oktoba 2, 2017, jijini Dar es Salaam.
Mwanyekiti
wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Gulamhafeez Mukadam akizungumza
na wajumbe wa jumuiya hiyo (hawapo pichani) wakati akifungua jukwaa la mafunzo
kwa wajumbe wa jumuiya hiyo katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo
jijini Dar es Salaam.
Meya
wa Jiji la Dar es Salaam Mh. Isaya Mwita akisisitiza jambo kwa wajumbe wa
Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakati wa jukwa la mafunzo kwa
wajumbe hao katika mkutano mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini
Dar es Salaam.
Meya
wa Jiji la Dar es Salaam Mh. Isaya Mwita akisisitiza jambo kwa wajumbe wa
Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakati wa jukwa la mafunzo kwa
wajumbe hao katika mkutano mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini
Dar es Salaam.
Baadhi
ya wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakimsikiliza
Mwanyekiti wa Jumuiya hiyo Gulamhafeez Mukadam (hayupo pichani) wakati
akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya
hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakimsikiliza Mwanyekiti wa
Jumuiya hiyo Gulamhafeez Mukadam wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe
hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.(PICHA
NA ELIPHACE MARWA – MAELEZO)
No comments :
Post a Comment